MOSES AWEKA REKODI MPYA CHELSEA - Darajani 1905

MOSES AWEKA REKODI MPYA CHELSEA

Share This

Victor Moses katika mchezo wa jana dhidi ya Chelsea aliweka rekodi mpya mara baada ya kutimiza mchezo wa 100 akiichezea Chelsea kwa mafanikio makubwa.

Victor Moses alisajiliwa na Chelsea akitokea klabu ya Wigan Athletic ambapo usajili huo ulikamilika mara baada ya Chelsea kuipeleka klabu hiyo ofa mara tano ili kumsajili nyota huyo.

Anatimiza mchezo wake wa 100 huku akiwa ameifungia Chelsea magoli 15 na kuisaidia kutwaa mataji ya mataji ya Ligi kuu Uingereza pamoja na Europa League.

Jambo ambalo huenda hulijui kwa Moses, aliwai kuzichezea timu za Uingereza karibu katika kila ngazi ya vijana yaani aliichezea Uingereza chini ya miaka 16, 17, 19 na 21 kabla ya kuungana na timu yake ya asili ya Nigeria ambapo alikimbia huko kama mkimbizi.

Hongera kwako Victor Moses

No comments:

Post a Comment