Mlinzi wa kushoto wa Chelsea, Marcos Alonso anaweza akapata mpinzani katika nafasi yake mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Chelsea ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Augsburg ya nchini Ujerumani ikimtaka kumsajili mlinzi wa klabu hiyo, Phillipe Max.
Max mwenye miaka 24, anatajwa na Chelsea kama mmoja ya wachezaji ambao Chelsea inataka kuwasajili ili kuongeza upana wa kikosi.
No comments:
Post a Comment