TERRY AIKATAA MAN CITY MBELE YA MOURINHO - Darajani 1905

TERRY AIKATAA MAN CITY MBELE YA MOURINHO

Share This
Mlinzi wa zamani wa Chelsea ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Aston Villa, John Terry amesema kama ingekuwa Chelsea ya Mourinho ya mwaka 2004 mpaka 2006 basi ingeweza kuifunga Manchester city ya leo.

Manchester city katika msimu huu haijapoteza mchezo hata mmoja katika michezo 18 huku ikitoa suluhu mchezo mmoja dhidi ya Everton huku ikiifunga Chelsea bao 1-0. Na inaonekana ipo kwenye moto mkubwa ikiwa imefanikiwa kufunga magoli 52.

"kama ingekuwa Chelsea ya Mourinho ya 2004 mpaka 2006 basi ingeifunga Man city ya leo" alisema John Terry.

Chelsea ya 2004 mpka 2006 ilikuwa ndiyo Chelsea bora kuwai kutokea ikiweka rekodi nyingi kipindi ambacho Jose Mourinho alikuwa mgeni katika ligi hiyo akifika Chelsea akitokea klabu ya FC Porto.

No comments:

Post a Comment