DAVID LUIZ KUONDOKA CHELSEA - Darajani 1905

DAVID LUIZ KUONDOKA CHELSEA

Share This
Manchester City wako tayari kujiunga na Arsenal na Chelsea Arsenal wana mpango wa kumsaini mlinzi wa Chelsea David Luiz, 30. (Daily Express)kumatafua wing'a wa Crystal Palace Wilfried Zaha, 25. (Daily Mirror)
Arsenal wanaweza kutoa ofa ya pauni milioni 25 kwa mBrazil huyo mwezi Januari. (Sun)
Real Madrid wako kwenye mazungumzo na mchezaji wa Chelsea Eden Hazard, 26.
Mchezaji wa safu ya kati wa Real Madrid Marco Asensio, 21, amekiambia klabu hiyo kuwa ataondoka ikiwa Hazard atajiunga nacho (Diario Gol,kupitia Daily Star)

No comments:

Post a Comment