Chelsea kukamilisha usajili wa nyota wa Juventus - Darajani 1905

Chelsea kukamilisha usajili wa nyota wa Juventus

Share This

Gazeti la The Sun limetoa taaarifa mpya iliyo sambaa kwa kasi sana jana jioni zinaeleza kuwa beki wa kati mwenye umri wa miaka 23 muitaliano aliyetamba na kikosi cha Italia chini ya umri wa miaka 21 Daniel rugani ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya vibibi vizeee vya Turin, Juventus amefika London kwa ajili yakufanyiwa vipimo vya afya ili kujiunga na Chelsea mda mchache ujao.

Mtandao wa Premium Sport umeripoti kuwa Chelsea imekubali kutoa kiasi cha paund milioni 40 ili kumnasa beki uyo kisiki

Premium sport ume mnukuuu kocha maurio sari anayetarajiwa kujiunga na Chelsea mda ujao kurithi mikoba ya Antonio conte kuwa ametuma ujumbe kwa klabu ya Chelsea ili imsajili Daniel Rugani

Pia acha maoni yako apo chini kuusiana na sajili mbalimbali zinazo endelea kwenye klabu je? Ni ipi nafasi ya beki huyu pale Chelsea ingawa kuna mabeki wengi wenye uwezo kama Wake na pengine wamemzidi (Kurt Zouma, David Luiz, Gary Cahil, Thomas Kalas, Matt Miazga, Antonio Rudiger, Christensen ) toa maoni yako tujue ni usajili wa maana au sio wa maana

Kwa taarifa mbalimbali za Chelsea, endelea kutembelea kurasa zetu
-Instagram=darajani1905
-Facebook=darajani1905

No comments:

Post a Comment