ALICHOKISEMA CONTE BAADA YA MORATA KUIANGUSHA CHELSEA - Darajani 1905

ALICHOKISEMA CONTE BAADA YA MORATA KUIANGUSHA CHELSEA

Share This

Kocha Antonio Conte jana alihuzunishwa sana mara baada ya Chelsea kukosa ushindi mara baada ya kutoka sare ya 2-2 dhidi ya Arsenal ugenini.

"Ni kipindi kigumu kwa Morata. Katika mchezo dhidi ya Stoke nilisema mshambuliaji ni muhimu apate nafasi za kufunga na leo(jana) amepata nafasi hizo ila kilichotokea ndio maana ya mpira" alisema Conte.

Morata alipata nafasi za kufunga tatu ambazo kama angeweza kuzitumia vizuri basi angekuwa ameisaidia Chelsea kupata ushindi muhimu na kupanda kwenye msimamo toka nafasi ya tatu iliyopo sasa mpaka nafasi ya tatu.

No comments:

Post a Comment