Nyota wa Chelsea, Victor Moses na David Luiz walikuwa wakishindana wakiwa mazoezini ambapo walikuwa wanaangalia ni nani mwenye uwezo mkubwa katika kulenga na kupiga. Na safari hii walikuwa wakishindana je ni nani atakayegongesha mwamba kwa kupiga mipira kumi. Angalia ni nani aliibuka kuwabingwa kwenye shindano hili.
DAVID LUIZ NA VICTOR MOSES WASHINDANA MAZOEZINI
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment