Heri ya kuzaliwa Gianfranco Zola - Darajani 1905

Heri ya kuzaliwa Gianfranco Zola

Share This

Miaka 51 imetia sasa toka nchi ya Italia ishuhudiwe kuzaliwa kwa nyota wa zamani wa klabu ya Chelsea, Gianfranco Zola ambaye aliwai kuzichezea pia klabu za Napoli na Parma za nchini Italia.

Zola anatimiza miaka 51 toka kuzaliwa kwake na aliwai kutamba vyema akiwa na uzi wa Chelsea akisajiliwa mwaka 1996 na nyota wa zamani raia wa Uholanzi aliyefika Chelsea akiwa kama kocha mchezaji, Ruud Gullit.

Toka amefika Chelsea ameshinda mataji kadhaa kama UEFA Winners Winner Cup, UEFA Super Cup, Ngao ya Hisani na mataji mengine klabuni Chelsea.

Nyota huyo anayefanania uchezaji na winga wa Chelsea alirejea Stamford Bridge akicheza kwenye mchezo wa kirafiki wa kumbukumbu ya kushinda taji la Ulaya ikicheza dhidi ya Inter Milan.

Heri ya kuzaliwa kwako...

No comments:

Post a Comment