Courtois aanza kuiumiza kichwa Chelsea - Darajani 1905

Courtois aanza kuiumiza kichwa Chelsea

Share This

Inataarifiwa kwamba mlinda mlango wa Chelsea, Thibaut Courtois hajarejea klabuni Chelsea bila kutoa taarifa yoyote ikizaniwa kwamba hii ni kutokana na kulazimisha kwake kuuzwa.

Mlinda mlango huyo ilitakiwa arejee klabuni Chelsea jana tarehe 5-Agosti lakini hakuna taarifa zozote za kurejea kwake ambapo hiyo inatajwa kuilazimisha klabu ya Chelsea imuuze uku mwenyewe akitaka kujiunga na Real Madrid.

NB: Samahani, huenda nimekosa maana kamili ya kuripoti habari hii. Taarifa zinasema mlinda mlango huyo ame-AWOL ambapo inamaanisha kuondoka au kukosekana bila ruhusa (Absent Without Official Leave). Nimeshindwa kupata neno moja kulitumia hapo.

No comments:

Post a Comment