Rasmi; Nyota mwengine wa Chelsea akimbilia kwa Frank Lampard - Darajani 1905

Rasmi; Nyota mwengine wa Chelsea akimbilia kwa Frank Lampard

Share This

Mlinzi kinda wa Chelsea, Fikayo Tomori amejiunga kwa mkopo wa msimu mzima na klabu ya Derby County inayofundishwa na mchezaji wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard

Nyota huyo alitolewa pia kwa mkopo msimu uliopita na klabu ya Hull city.

Mkopo wake klabuni hapo kunamfanya kuungana na kinda mwengine wa Chelsea, Mason Mount ambaye alijiunga na klabu hiyo kwa mkopo mwezi uliopita

No comments:

Post a Comment