Kutokana na kumbukumbu hiyo hapa nakuletea historia fupi ya mabingwa hao watetezi wa taji la ligi kuu Uingereza.
Siku kama ya leo, tarehe 10-Marchi-1905, mfanyabiashara Gus Mears aliamua kuianzisha klabu ya Chelsea Football Club na kuipatia kiwanja cha Sta,ford Bridge ili ikitumie kama kiwanja chake cha nyumbani katika michuano na mashindano ya soka. Mpaka leo imepitimia miaka 113 toka kuanzishwa na klabu hiyo inayopatikana kwenye jiji la London.
No comments:
Post a Comment