Rasmi; Bright asaini kandarasi ya kubaki Chelsea - Darajani 1905

Rasmi; Bright asaini kandarasi ya kubaki Chelsea

Share This

Mwaka 2015 klabu ya soka ya wanawake ya Chelsea Ladies ambayo kwasasa inatambulika kama Chelsea FC Women ilifanikiwa kumnasa nyota Millie Bright akitokea klabu ya Doncaster.

Mara baada ya kutua klabuni hapo hatimaye hii leo nyota huyo amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea Chelsea kwa miaka mitatu zaidi.

Millie Bright ambaye siku chache zilizopita amesaini mkataba huo akiwa kama nyota wa kikosi hicho cha klabu ya wanawake ya Chelsea FC Women inayofundishwa na kocha Emma Hayes.

No comments:

Post a Comment