Chelsea yapunguza kasi kwa Werner, kuamia kwa Dembele, unajua sababu ni ipi? - Darajani 1905

Chelsea yapunguza kasi kwa Werner, kuamia kwa Dembele, unajua sababu ni ipi?

Share This

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vinaripoti kwamba Chelsea imepunguza kasi katika mbio zake za kuwania saini ya mshambuliaji wa RB Leipzig, Timo Werner.

Sababu inayotajwa kwa Chelsea kupunguza kasi ya kumnasa nyota huyo ni kutokana na Liverpool kutajwa kama chaguo la karibu kwa nyota huyo kujiunga nayo.

Hivyo Chelsea inatajwa kuamishia nguvu zake kwa mshambuliaji wa Olympique Lyon, Moussa Dembele ambaye pia alikuwa akihusishwa na Chelsea. Nyota huyo raia wa Ufaransa anatajwa kuwa na thamani ya paundi milioni 60.

No comments:

Post a Comment