Chelsea huenda ikamtoa rasmi kinda wake aliyekuzwa kwenye akademi ya klabu hiyo mlinzi, Jake Clarke-Salter ambaye anatajwa kujiunga rasmi na klabu ya Sunderland inayoshiriki ligi daraja la kwanza la Uingereza maarufu kama Championship.
Clarke-Salter ambaye alishawai kuwepo kwenye kikosi cha wakubwa kilichocheza katika kombe la Carabao atatangazwa rasmi kuwa mchezaji wa Sunderland siku ya jumatatu ambapo amefanyiwa vipimo na klabu hiyo jumapili ya tarehe 8-Januari.
Hongera Jake, tunategemea makubwa kutoka kwako
No comments:
Post a Comment