Nyota wa Chelsea, Charly Musonda Jr leo ameichezea timu ya vijana wa klabu hiyo katika mchezo wa kombe la Cha ambapo timu hiyo ilimenyana na Portsmouth.
Mchezo ulikuwa mgumu ambapo mpaka dakika ya 90 ulikuwa bado 1-1 kabla ya Musonda Jr. kufungwa kwa faulo dakika za majeruhi kabisa. Ambapo kwa goli hilo akaisaidia timu yake kufudhu kucheza hatua ya robo fainali.
Goli lake nimekuwekea chini.
No comments:
Post a Comment