USHABETI? - Darajani 1905
Leo usiku utakuwa usiku mtamu zaidi kwa Chelsea kama tutafanikiwa kumfunga yule mzee na timu yake, nategemea Chelsea itupe furaha na tunategemea makubwa kutoka kwa Alvaro Morata maana tunajua atataka kufanya makubwa ili kudhihirisha ubora wake mara baada ya kufanya vibaya katikamchezo uliopita dhidi ya timu hiyo, wiki iliyopita.

Come on Chelsea..

No comments:

Post a Comment