DAMIEN DUFF, ENZI ZA UBORA WAKE KLABUNI CHELSEA - Darajani 1905

DAMIEN DUFF, ENZI ZA UBORA WAKE KLABUNI CHELSEA

Share This
Leo ni siku ya kumbukumbu ya gwiji wa soka raia wa Ireland ambaye anatimiza miaka 39 huku akiwa na historia kubwa klabuni Chelsea kwa kufanya makubwa na kuisaidia kushinda mataji kadhaa kwa kipindi chake akiwa klabuni hapo, Damien Duff anatimiza miaka 39 huku akiwa na historia kubwa kwenye ulimwengu wa soka.

Wengi wetu hatujamfaidi sana nyota huyu, na hivyo nimekuletea magoli yake aliyoyafunga akiwa klabuni Chelsea kwenye utawala wa mmiliki wa sasa wa Chelsea, Roman Abramovich ambapo alimnunua nyota huyu kama kujiandaa na mapinduzi kwa klabu hiyo kutoka kwenye mikono ya mmiliki wa zamani, Ken Bates na kisha kuinunua klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment