Kikosi cha Chelsea dhidi ya Liverpool jioni ya leo, Morata kama shabiki - Darajani 1905

Kikosi cha Chelsea dhidi ya Liverpool jioni ya leo, Morata kama shabiki

Share This

Chelsea inashuka uwanjani jioni ya leo ili kucheza mchezo wake wa ligi kuu Uingereza kwa raundi ya 36 dhidi ya Liverpool kwenye uwanja wa Chelsea, Stamford Bridge au kwa jina la utani Darajani.

Kuelekea kwenye mchezo huo, hapa nakuletea kikosi kamili cha Chelsea kitakachocheza kwenye mchezo huo

Kipa; Thibaut Courtois
Walinzi; Cesar Azpilicueta, Gary Cahill (C) na Antonio Rudiger
Viungo; Victor Moses, Tiemoue Bakayoko, Cesc Fabregas, N'Golo Kante na Marcos Alonso
Washambuliaji; Eden Hazard na Olivier Giroud

Wachezaji wa akiba; Willy Caballero, Emerson Palmieri, Davide Zappacosta, Andreas Christensen, Ross Barkley, Pedro Rodriguez na Willian Borges

Chelsea inahitaji ushindi kwenye mchezo huu ili ifikishe alama 69 kwenye msimamo wa ligi kuu Uingereza ambapo inapambania nafasi ya kucheza klabu bingwa barani Ulaya.

No comments:

Post a Comment