Chelsea inashuka uwanjanii Stamford Bridge leo kumenyana na Stoke city katika mchezo wa raundi ya 21 ya ligi kuu Uingereza. Hapa nimekuletea kikosi maalumu kitakachoingia uwanjani kumenyana na klabu hiyo iliyo chini ya kocha Mark Hughes.
Chelsea XI:
Kipa: Thibaut Courtois
Walinzi: Cesar Azpilicueta, Gary Cahill ns Antonio Rudiger
Viungo: Victor Moses, n'Golo Kante, Danny Drinkwater na Marcos Alonso
Washambuliaji: Willian Borges, Alvaro Morata na Pedro Rodriguez
Benchi: Willy Caballero, Andreas Christensen, David Zappacosta, Cesc Fabregas, Tiemoue Bakayoko, Eden Hazard na Michy Batshuayi
Majeruhi: David Luiz na Charly Musonda Jr.
Mwamuzi wa mchezo: Kein Friend
Wakati kwa upande wa Stoke city wao watawakosa Kurt Zouma ambaye hachezi mchezo huu kutokana na Chelsea kuwa klabu yake ya asili na yupo Stoke city kama mchezaji wa mkopo, Pieters, Shawcross na Martins Indi na wao watakosekana huku Ireland akiwa hategemewi kuwepo kabisa
PL; HAZARD AANZIA NJE, CHELSEA vs STOKE CITY
Share This
Tags
# Chelsea HD
Share This
About Darajani 1905
Chelsea HD
Labels:
Chelsea HD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment