PL; HT, CHELSEA 3-0 STOKE CITY - Darajani 1905

PL; HT, CHELSEA 3-0 STOKE CITY

Share This
Chelsea inapata magoli mhimu ya kuongoza dhidi ya Stoke city pale Stamford Bridge.

Antonio Rudiger ndiye alikuwa wa kwanza kuipatia Chelsea goli la kuongoza akifunga kwa kchwa baada ya kupigwa krosi nzuri kutoka kwa Willian Borges. Huku goli la pili likifungwa na Danny Drinkwater akipiga shuti kali kutokea nje ya box ambapo kwa goli hilo linamfanya aifungie Chelsea goli la kwanza toka afike klabuni hapo.

Huku goli la tatu likifungwa na Pedro Rodriguez akmpindua vizuri beki wa Stoke city na kufunga kwa shuti kali na kumuacha kipa Butland amebaki amesimama na asijue lipi la kufanya.

No comments:

Post a Comment