Chelsea kumrudia Petr Cech - Darajani 1905

Chelsea kumrudia Petr Cech

Share This

Chanzo kimoja cha habari kimeripoti kwamba endapo klabu ya Chelsea itafanikiwa kumuuza mlinda mlango wake nambari moja, Thibaut Courtois kwa klabu ya Real Madrid basi itamsajili mlinda mlango wa Arsenal, Petr Cech.

Petr Cech aliwai kuichezea Chelsea kwa mafanikio makubwa kabla ya kuondoka klabuni hapo kutokana na Chelsea kumrejesha mlinda mlango wake, Thibaut Courtois aliyekuwa kwa mkopo klabuni Atletico Madrid.

Lakini usajili huo unatajwa kuhusika endapo Chelsea itashindwa kumnasa Becker Alisson kutoka AS Roma.

No comments:

Post a Comment