Chelsea ipo tayari kutoa paundi milioni 70 ili kumsajili mshambuliaji raia wa Argentina, Gonzalo Higuain
Taarifa zinaeleza kwamba Chelsea ipo tayari kumpa Higuain mkataba wa miaka mitatu na mshahara wa euro milioni 7.5 kwa mwaka.
Usajili huo utakuwa wa mabadilishano, wakati Higuain mwenye miaka 30 anakuja Chelsea, Alvaro Morata anaenda Juventus
No comments:
Post a Comment