Umekisikia kituko cha N'Golo Kante? - Darajani 1905

Umekisikia kituko cha N'Golo Kante?

Share This

Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, wakati France wanashangilia na kombe uwanjani jana, Steven N'zonzi ilibidi awaombe baadhi ya wachezaji wa France wamuachie N'Golo Kante nae alishike kombe hilo kwa sababu alikuwa anaona aibu kuwaambia.

Neno moja kwake...

No comments:

Post a Comment