Kutokana na uwezo mkubwa aliounyesha akiwa kwenye michuano ya Kombe la Dunia na kuchaguliwa kipa bora wa michuano hiyo, Thibaut Courtois anaamini mshahara anaolipwa Chelsea ni mdogo. Kwasasa analipwa paundi 140,000 kwa wiki.
Chelsea iliwai kumpa mkataba wa mshahara wa paundi 200,000 kwa wiki lakini akakataa kusaini.
Je unazani kipi anakitaka? kupewa mshahara mkubwa zaidi ili abaki Chelsea au analazimisha kuondoka?
Kupata habari zote za Chelsea, tembelea kurasa zetu
Facebook➡Darajani 1905
Instagram➡darajani1905
Facebook➡Darajani 1905
Instagram➡darajani1905
No comments:
Post a Comment