CARROLL ATAKIWA CHELSEA - Darajani 1905

CARROLL ATAKIWA CHELSEA

Share This

Nyota wa klabu ya West Ham United inayopatikana jijini London kwenye uwanja wa London Stadium, Andy Carroll anatazamiwa kujiunga na Chelsea inayomfukuzia nyota huyo kwa mkopo.

Chelsea inamtaka nyota huyo mwenye sifa ya kufunga magoli ya vichwa ambaye ni raia wa Uingereza kwa mkopo ikitazamia kutibu tatizo la ufinyu wa magoli uliotokea klabuni Chelsea.

Darajani 1905 inaelewa kuja kwake Andy Carroll kutafungua milango kwa nyota mbelgiji klabuni Chelsea, Michy Batshuayi kuondoka klabuni hapo iwe kwa kuuzwa kabisa au kutolewa kwa mkopo.

No comments:

Post a Comment