Habari muhimu kuelekea upangwaji wa makundi ya Europa League - Darajani 1905

Habari muhimu kuelekea upangwaji wa makundi ya Europa League

Share This
Mchana wa leo kutafanyika upangwaji wa droo ya makundi ya michuano ya ligi ya Ulaya maarufu kama Europa League na Chelsea ni moja ya timu inayoshiriki michuano ya ligi hiyo.

Hapa nakuletea habari muhimu unazopaswa kuzijua kuelekea shughuli hiyo.

Chelsea:
Chelsea inashiriki michuano hii kutokana na kushindwa kumaliza katika nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi kuu Uingereza msimu uliopita, msimu wa 2017-2018 ambapo ilimaliza katika nafasi ya tano.

Wapi inafanyika?
Upangwaji huu wa droo unafanyika jijini Monaco nchini Ufaransa.

Upangwaji unafanyikaje?
Majina ya klabu zinazoshiriki yanawekwa kwenye vipira vidogo kisha huifadhiwa kwenye mabakuli madogo (pot) ambapo vipira vinachaguliwa ili kupanga makundi hayo.

Pot 1
Sevilla (ESP)
Arsenal (ENG)
Chelsea (ENG)
Zenit (RUS)
Bayer Leverkusen (GER)
Dynamo Kyiv (UKR)
Besiktas (TUR)
Salzburg (AUT)
Olympiacos (GRE)
Villarreal (ESP)
Anderlecht (BEL)
Lazio (ITA)
Pot 2
Sporting CP (POR)
Ludogorets (BUL)
Kobenhavn (DEN)
Marseille (FRA)
Celtic (SCO)
PAOK (GRE)
AC Milan (ITA)
Genk (BEL)
Fenerbahce (TUR)
Krasnodar (RUS)
Astana (KAZ)
Rapid Wien (AUT)
Pot 3
Real Betis (ESP)
BATE Borisov (BLR)
Qarabag (AZE)
Dinamo Zagreb (CRO)
RB Leipzig (GER)
Eintracht Frankfurt (GER)
Malmo (SWE)
Spartak Moskva (RUS)
Standard Liege (BEL)
Zurich (SUI)
Bordeaux (FRA)
Rennes (FRA)
Pot 4
Apollon (CYP)
Rosenborg (NOR)
Vorskla Poltava (UKR)
Slavia Praha (CZE)
Akhisar Belediyespor (TUR)
Jablonec (CZE)
AEK Larnaca (CYP)
Vidi (HUN)
Rangers (SCO)
Dudelange (LUX)
Spartak Trnava (SVK)
Sarpsborg (NOR)

Ratiba kamili ya michezo ya hatua ya makundi:
Mchezo wa kwanza: 20 Septemba
Mchezo wa pili: 04 Oktoba
Mchezo wa tatu: 25 Oktoba
Mchezo wa nne: 08 Novemba
Mchezo wa tano: 29 Novemba
Mchezo wa sita: 13 Desemba

No comments:

Post a Comment