KING KIBA WA CHELSEA - Darajani 1905

KING KIBA WA CHELSEA

Share This
Aiseeh leo bwana katika mitandao huko, mashabiki wa Chelsea tunafuraha sana, kwanza furaha ya ushindi wa jana dhidi ya Brighton ambao umekuwa na faida kwetu tukipata alama tatu muhimu zinazotufanya kupunguza pengo la alama kuelekea mchezo wa tarehe 30-desemba ambapo Chelsea itashuka Darajani kumenyana na Stoke city.

Lakini jambo jengine linalotufanya tuwe na furaha, ni huyu shabiki mwenzetu wa Chelsea akiwa anakumbuka siku yake ya kuzaliwa leo. Anaitwa Hasrall Kiba, nadhani huyu anaweza kuwa pacha wa King Ally Kiba. Hahaaaa natania tu.

Ila kama ilivyo blog yenu ya Mashabiki wa Chelsea yaani Darajani 1905 tunachukua fursa hii kumtakia heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake na afanye mazoezi sana kukipunguza kitambi.

Mitandaoni
Facebook; Hasrall Kiba
Instagram; Hasrall_Kiba

Happy Birthday Hasrall Kiba, shabiki pekee mwenye kitambi cha umbo la D

No comments:

Post a Comment