Klabu ya OGC Nice ya nchini Ufaransa imeamua kuivutia Chelsea na klabu nyengine juu ya kumuuza nyota wake Jean Michael-Seri ambaye ni raia wa Ivory Coast.
Jean Seri ametajwa wiki kadhaa zilizopita kutakiwa na Chelsea ingawa The Blues ilikuwa tayari kutoa kiasi ambacho kilikuwa chini ya kile kilichotakiwa na Nice ambao wao walitaka kumuuza nyota huyo kwa paundi milioni 30 kabla ya sasa kupunguza na kuwa tayari kupokea kiasi cha paundi milioni 20.
Chelsea inataka kuongeza ukubwa wa kikosi ili kuweza kuwafanya wachezaji waweze kucheza bila uchovu.
No comments:
Post a Comment