Mara baada ya kuiongoza Chelsea kupata ushindi wake wa muhimu jana ulioifanya kupanda kutoka nafasi ya tatu mpaka nafasi ya pili ikiwa na alama 45 kwa ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Stoke city, Davide Zappacosta aliyeingia kama mchezaji wa akiba ameweka rekodi mpya.
Davide Zappacosta aliingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya Victor Moses, amekuwa muitaliano wa kwanza kuifungia goli Chelsea katika ligi kuu Uingereza toka Giafranco Zola alipofanya ivyo kwa mara ya mwisho mwaka 2003 alipoifunga Everton huku Zappacosta akifanya ivyo jana dhidi ya Stoke City.
Mpaka kuifikia rekodi hiyo imedumu miaka 14 mpaka Zappacosta kuja kuivunja.
Hongera Zappacosta
No comments:
Post a Comment