Au nikuulize uliwai kufikiria kama watakuwa wana ufundi pia katika suala zima la maakuli? yani katika mapishi? je unajua David Luiz ubora wake sio uwanjani tu, yani mbrazili huyu mpaka kwenye maswala ya mapishi yupo kwenye ubora wa hali ya juu.
Hapa nimekuletea video ya nyota hao wakishindana katika maswala mazima ya kutoa shavu, katika maswala ya upishi na kushughulika kwenye upishi na upikaji ambapo tukio hili lilifanyika mara baada ya kumalizika msimu wa 2016-2017 ambapo Chelsea waliibuka kuwa mabingwa na kwenda barani Asia kujiandaa na msimu mpya.
No comments:
Post a Comment