PL; VIDEO, Man utd 2-1 CHELSEA - Darajani 1905

PL; VIDEO, Man utd 2-1 CHELSEA

Share This
Chelsea iliyo chini ya Antonio Conte imepoteza mchezo wake wa pili kati ya mitano iliyokutana dhidi ya Manyumbu (Man utd), huku ikishinda michezo mitatu. Bado tupo juu yao, huku pia katika michezo 15 tuliyokutana nao mara ya mwisho, tukishinda michezo nane huku wao wakishinda mara mbili, ni rekodi nzuri kwetu. Ila kama unataka kuutazama mchewzo huo ambao Chelsea tulinyimwa goli la wazi kabisa ambalo mwamuzi alisema kuwa Alvaro Morata alizidi wakati haikuwa hivyo, basi nimekuwekea hapa video uweze kuutazama mchezo huo.

No comments:

Post a Comment