PLW; MJELDE, JI SO-YUN WAANZA KATI-MAN CITY vs CHELSEA - Darajani 1905

PLW; MJELDE, JI SO-YUN WAANZA KATI-MAN CITY vs CHELSEA

Share This
Zimebaki dakika kadhaa kuanza kwa mchezo wa ligi kuu Uingereza kwa upande wa wanawake ambapo Chelsea itakuwa ugenini kupambana dhidi ya vigogo wenzao wa Mama site (Man city), mchezo huo unaanza saa 02:30 jioni (saa 15:30). Hapa nakuletea kikosi cha Chelsea kitakachoshuka katika mchezo huo.

Hapa Darajani 1905 nitakuletea matokeo ya mchezo huo na msimamo wa ligi utakavyokuwa mara baada ya mchezo huo.

No comments:

Post a Comment