WILLIAN vs HAZARD, ANGALIA WAKISHINDANA NJE YA UWANJA - Darajani 1905

WILLIAN vs HAZARD, ANGALIA WAKISHINDANA NJE YA UWANJA

Share This
Wamekuwa mihili mikubwa kwa Chelsea, kila mmoja akitumia ujuzi wake na ubora wake katika kulisakata kabumbu kucheza soka bora lenye utamu wa kila aina, lakini je ni nani noma? Ni Eden Hazard dhidi ya Willian Borges da Silva, hapa nakuletea mchuano wao wakishindana nje ya uwanja wa soka, ila wakitumia soka. Willian akiwa na msaidizi wake Loic Remy ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya nchini Hispania wakati Eden Hazard akiwa na Nathan Ake ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Afc Bournemouth, lakini hapa wote wakiwa Chelsea.

No comments:

Post a Comment