Klabu ya Chelsea inatajwa kumuwania nyota raia wa Ghana, Kwando Asamoah anayeichezea klabu ya Juventus ya nchini Italia ambaye anamaliza mkataba na klabu hiyo kipindi cha kiangazi mwaka huu.
Chelsea inatajwa kuwania saini ya nyota huyo mwenye miaka 29 huku ikipigana vikumbo na vilabu kama Inter Milan na Galatasaray ambavyo navyo vinatajwa kumuwania nyota huyo ambaye atapatikana bure mwisho wa msimu.
Inatajwa kama kocha Antonio Conte ataendelea kusalia klabuni Chelsea basi nyota huyo kuna uwezekano mkubwa wa kutua klabuni hapo ili kufanya kazi tena na kocha huyo amabye waliwai kuwa pamoja kwenye klau ya Juventus.
CHELSEA KUMFATA MWENGINE Juventus
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment