Nyota wa Chelsea, Antonio Rudiger ambaye ni raia wa Ujerumani mwenye asili ya Sierra Leone kutoka barani Afrika ameingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombania tunzo ya balozi bora mwanamichezo maarufu kama Deutscher Fussball Botschafter’ (German Football Ambassador) inayotolewa na nchi ya Ujerumani.
Nchi hiyo ikihusisha nyanja za michezo na kudumisha asili ya nchi hiyo ilianzisha tunzo hizi ambazo hutolewa kwa wanamichezo na makocha kutoka Ujerumani ambao wanafanya kazi nje ya nchi hiyo ambao wamekuwa wakidumisha asili yao hata kama wanafanya kazi nje ya nchi hiyo inayopatikana barani Ulaya na kwa mara ya kwanza ilitolewa mwaka 2013 huku nyota wa zamani wa Chelsea, Andre Schurrle aliwai kushinda mwaka 2014 kipindi iko akiwa mchezaji wa Chelsea.
Mshindi wa kinyang'anyiro au tunzo hiyo anapigiwaga kura na wananchi wote duniani, nawe pia unaweza kumpigia kura nyota wetu huyu ili ashinde tunzo hiyo kwa kubonyeza kitufe cha hapa chini.
RUDIGER AINGIA KWENYE TUNZO, INGIA HAPA KUMPIGIA KURA
Share This
Tags
# Chelsea FC
# Chelsea Habari
Share This
About Darajani 1905
Chelsea Habari
Labels:
Chelsea FC,
Chelsea Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment