GOLI BORA MWEZI FEBRUARI, PIGA KURA YAKO - Darajani 1905

GOLI BORA MWEZI FEBRUARI, PIGA KURA YAKO

Share This
Kama ilivyoada, kila tunapoingia mwezi mpya huwa kunafanyika uchaguzi wa magoli bora ya mwezi uliopita ambayo yameonekana kuwa bora kisha goli moja linachaguliwa kuwa goli bora la mwezi huo uliopita. Na leo hapa nakuletea magoli yaliyochaguliwa kuingia katika kinyang'anyiro hicho cha magoli bora ya mwezi Februari, ambao ndio mwezi uliopita na sasa tupo mwezi marchi. Nimekuwekea magoli hayo hapa chini, angalia mwenyew kisha ubonyeze kitufe hapo chini kulipigia kura goli unadhani kuwa linastahili kuwa goli bora.
http://www.chelseafc.com/content/cfc/en/homepage/videos/goal-of-the-month.html

No comments:

Post a Comment