HAKIKA MARCOS ALONSO NI NOMA, ANGALIA ALICHOKIFANYA - Darajani 1905

HAKIKA MARCOS ALONSO NI NOMA, ANGALIA ALICHOKIFANYA

Share This
Achana na ubora wake akiwa kati ya wachezaji bora katika mipira ya adhabu, achana na rekodi yake akiwa mmoja wa walinzi wenye magoli mengi barani Ulaya kwa msimu huu wa 2017-2018, Marcos alonso ana ujuzi mwengine tena, tena ujuzi huo ni nje ya soka kabisa. Unataka kujua ni ujuzi gani aliokuwa nao nyota hao ambapo aliwashangaza nyota wenzake klabuni Chelsea? akiwaacha midomo wazi akina Pedro na wenzake waliokuwa siku hiyo?

Angalia hii video niliyokuwekea hapa chini ambapo walipewa shindano na kampuni ya bia ya Singha Beer ili washindane, unataka kujua kushindana nini? unataka kujua ni uwezo upi alioonyesha siku hiyo? angalia hapa chini.


No comments:

Post a Comment