HUYU NDIYE ANTONIO RUDIGER AKIWA CHELSEA - Darajani 1905

HUYU NDIYE ANTONIO RUDIGER AKIWA CHELSEA

Share This
Leo ni siku ya muhimu sana kwa nyota wa Chelsea, Antonio Rudiger ambaye anatimiza miaka 25 toka kuzaliwa kwake huko nchini Ujerumani kwenye jiji la Berlin, na hapa nakuletea video ya aliyoyafanya akiwa klabuni Chelsea toka aliposajiliwa mwaka jana akitokea nchini Italia kwenye klabu ya As Roma.

No comments:

Post a Comment