KUELEKEA CHELSEA vs CRYSTAL, NYOTA MWENGINE WA CHELSEA KUUKOSA MCHEZO HUO - Darajani 1905

KUELEKEA CHELSEA vs CRYSTAL, NYOTA MWENGINE WA CHELSEA KUUKOSA MCHEZO HUO

Share This
Kesho Chelsea itakuwa nyumbani kucheza dhidi ya majirani zao katika jiji la London, Crystal Palace ambapo mchezo huo utakuwa ni wa ligi kuu Uingereza ukiwa ni mchezo wa raundi ya 30 ya msimu huu wa 2017-2018 ambapo Chelsea itakuwa nyumbani katika mchezo huo.

Kuelekea kwenye mchezo huo, nyota wa Chelsea, Ruben Loftus-cheek ambaye anaichezea klabu ya Crystal Palace kwa mkopo hatokuwepo kwenye mchezo huo kutokana na majeruhi anayoyauguza ambapo anatarajiwa kupona kabisa na kurudi uwanjani akiwa imara kiafya wiki ijayo.

Nyota huyo aliuguza majeraha yake akiwa chini ya uangalizi wa madaktari wa Chelsea na hata amekuwa akifanya mazoezi na kikosi cha vijana wa Chelsea cha chini ya miaka 23.

No comments:

Post a Comment