Chelsea inashuka uwanjani kupambana dhidi ya Crystal palace katika mchezo wa ligi kuu UIngereza kwa raundi ya 30 ya msimu huu ambapo klabu hizo zote zinatokea kwenye jiji la London nchini Uingereza. Kuelekea kwenye mchezo unaoenda kuanza muda mfupi ujao hapa nakuletea kikosi kamili kitakachomenyana katika mchezo huo.
Kipa; Thibaut Courtois
Walinzi; Cesar Azpilicueta, Andreas Christensen, Gary Cahill (C)
Viungo; Zapacosta, N'golo Kante, Cesc Fabregas, Marcos Alonso
Washambuliaji; Eden Hazard, Olivier Giroud, Willian
Wachezaji wa akiba; Caballero, Ampadu, Bakayoko, Emerson, Moses, Pedro na Morata

PL; MOSES NJE, ZAPPA NDANI-CHELSEA vs Crystal Palace
Share This
Tags
# Chelsea FC
# Chelsea Habari
Share This
About Darajani 1905
Chelsea Habari
Labels:
Chelsea FC,
Chelsea Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment