Chelsea njiani kumuuza Courtois - Darajani 1905

Chelsea njiani kumuuza Courtois

Share This

Real Madrid na Chelsea wapo kwenye majadiliano ya kukamilisha usajili wa golikipa Thibaut Courtois kwa ada ya uhamisho ya paundi millioni 35.

Courtois amebakisha mwaka mmoja katika mkataba wake na Chelsea
Kama akiendelea kubaki Chelsea bila kusaini mkataba mpya anaweza kusaini mkataba wa awali mwezi January 2019, wa kujiunga na Madrid bure mwishoni mwa msimu ujao.

No comments:

Post a Comment