Chelsea yatua kwa nyota Mserbia - Darajani 1905

Chelsea yatua kwa nyota Mserbia

Share This
Umri wake ni miaka 23 lakini tayari anatajwa kuziingiza kwenye vita klabu kadhaa kubwa barani Ulaya ikiwemo klabu ya Chelsea ambayo inatajwa kutamani huduma ya kiungo huyo.
Chelsea inatajwa kumfukuzia kiungo raia wa Serbia anayeichezea klabu ya Lazio, Sergej Milinkovic-Savic huku kukiwa na taarifa kwamba klabu ya Manchester united nayo inamfukuzia kwa karibu.

No comments:

Post a Comment