Nyota na winga wa Chelsea, Jeremie Boga amekamilisha usajili wake wa kujiunga kwa usajili wa moja kwa moja na klabu ya Sassuolo.
Klabu hiyo imetangaza rasmi usajili huo wa moja kwa moja huku ikitumia paundi milioni 3.5 ili kumnasa nyota huyo ambaye msimu uliopita alitumika kwa mkopo kwenye klabu ya Birmingham city.
Chelsea imeweka kipengele cha kumsajili tena endapo ikimtaka.
No comments:
Post a Comment