Mlinzi raia wa Uingereza, Gary Cahill ambaye ni nyota wa kikosi cha Chelsea anaweza kukamilisha uhamisho wake wa jumla wa kujiunga na klabu ya Galatasaray ya nchini Uturuki.
Vyanzo kadhaa vya habari vinamtaja nyota huyo kuonekana akiwa nchini Uturuki ambapo inasadikika amefika nchini humo ili kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na wababe hao wa nchini humo.
Cahill amekuwa akihusishwa kuondoka Chelsea tangu ujio wa kocha Maurizio Sarri huku sababu inayomfanya kutaka kuondoka ni kukosa kwake nafasi ya kucheza.
No comments:
Post a Comment