Chelsea inatajwa tena kumfukuzia kiungo na nyota raia wa Wales anayeichezea klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza, Aaron Ramsey mara baada ya mazungumzo ya nyota huyo kusaini mkataba mpya klabuni Arsenal kuonekana kwenda mrama.
Chelsea itaweza kumnasa kiungo huyo bure endapo hatosaini mkataba mpya wa kuitumikia klabu hiyo inayopatikana jiji moja na Chelsea, jiji la London.
Mkataba wa nyota huyo klabuni Arsenal unamalizika tarehe 30-Juni-2019.
No comments:
Post a Comment