Usajili Chelsea; Walioingia na Waliotoka usajili dirisha kubwa - Darajani 1905

Usajili Chelsea; Walioingia na Waliotoka usajili dirisha kubwa

Share This

Jana ilikuwa siku ya mwisho kwa dirisha la usajili nchini Uingereza ambapo lilifungwa saa 19:00 kwa saa za Afrika Mashariki ambapo kwa Uingereza ilikuwa ni sawa na saa 17:00.

Mara baada ya kufungwa kwa dirisha hilo hapa nakuletea wachezaji walioingia na kutoka klabuni Chelsea kabla ya kufunguliwa rasmi msimu mpya wa 2018-2019 kwa kuchezeka mchezo wa kwanza usiku wa leo huku Chelsea ikishuka uwanjani kesho jumamosi kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Huddersfield Town kwenye uwanja wa Kirkless mida ya saa 17:00 kwa saa za Afrika Mashariki.

Walioingia;
Jorginho (Napoli, paundi milioni 57), Robert Green
(Huddersfield, bure), Kepa Arrizabalaga (Athletic
Bilbao, paundi milioni 71.6), Mateo Kovacic (Real Madrid, mkopo)

Waliotoka;
Thibaut Courtois (Real Madrid, paundi milioni 35)
Kenedy (Newcastle, mkopo), Harvey St Clair (Venezia), Trevoh Chalobah (Ipswich, mkopo),
Kasey Palmer (Blackburn, mkopo), Nathan Baxter
(Yeovil, mkopo), Reece James (Wigan, mkopo), Dujon
Sterling (Coventry, mkopo), Jake Clarke-Salter
(Vitesse Arnhem, mkopo), Jordan Houghton (MK Dons), Jhoao Rodriguez (Tenerife, mkopo), Jamal
Blackman (Leeds, mkopo), Lewis Baker (Leeds, mkopo),
Todd Kane (Hull, mkopo), Mason Mount (Derby County, mkopo),
Charlie Colkett (Shrewsbury, mkopo), Mario Pasalic
(Atalanta, mkopo), Jeremie Boga (Sassuolo,
paundi milioni 3.5), Jacob Maddox (Cheltenham, mkopo),
Kyle Scott (Telstar, mkopo), Fikayo Tomori (Derby County,
mkopo), Panzo (AS Monaco, jumla), Matt Miazga (FC Nantes, mkopo)

No comments:

Post a Comment