Mechi ya ligi kuu Uingereza kwa soka la wanawake kati ya Chelsea Women dhidi ya Man utd Women imehairishwa!
Mechi hiyo ilitakiwa ichezwe usiku wa leo mida ya saa moja lakini kutokana na hali ya hewa kutokuwa rafiki, mchezo huo wa ligi kuu umehairishwa.
Huu ni mchezo wa pili wa Chelsea kuhairishwa ambao umeifanya Chelsea kuwa na michezo miwili ya vipolo ukiambatanisha na mchezo dhidi ya Reading ambao nao ulihairishwa kutokana na hali mbaya ya hewa!
No comments:
Post a Comment