Hatari bora zaidi 5 ambazo Petr Cech aliziokoa akiwa kipa wa Chelsea - Darajani 1905

Hatari bora zaidi 5 ambazo Petr Cech aliziokoa akiwa kipa wa Chelsea

Share This
Siku kama ya leo miaka 16 iliyopita, nyota kipa wa zamani wa Chelsea, Petr Cech alisaini mkataba wa kujiunga na Chelsea akisajiliwa akitokea Rennes.

Hapa nakuletea video ya hatari bora zaidi 5 alizowai kuziokoa kwenye maisha  yake akiwa Chelsea ambapo ameacha alama kubwa akihesabika kama moja kati ya magwiji klabuni hapa.

No comments:

Post a Comment