Kuelekea mchezo wa kesho, Chelsea ikisafiri kwenda mpaka Falmer Stadium ambao ni uwanja wa klabu ya Brighton and Hove inayopatikana kusini mashariki mwa nchi ya Uingereza. Kocha Antonio Conte amefanya mkutano na waandishi wa habari kuelekea kwenye mchezo huo. Hapa nakuletea mfululizo wa mambo aliyohojiwa na kuyatolea ufafanuzi;
Alipoulizwa juu ya uwezo wa nyota Alvaro Morata:
Kocha Antonio Conte alijibu "Kwanini? Kwa vile hafungi? Ni ngumu sana kulipatia jibu sahihi hili swali, tunatengeneza nafasi nyingi za kufunga. Inatakiwa tuwe wakweli inawezekana safu yetu ya ushambuliaji inaweza kuwa sawa. Ubora zaidi unaweza kuwa bora zaidi"
"Anatakiwa (Morata) apambane kulitatua hili tatizo, kwa maana ni tatizo la kijinga. Kocha anamuamini, wachezaji wenzake wanamuamini na hata mashabiki nao wanamuamini. Anatakiwa ahakikishe anapambana kuwa sawa. Kila mtu ndani ya Chelsea anamuamini."
Kwenye mchezo huo wa kesho, Alvaro Morata hatokuwepo kutokana na kutumikia adhabu ya kadi mbili za njano katika mchezo dhidi ya Norwich ambazo zilimaanisha kutolewa kwa kadi nyekundu kwa maana hiyo adhabu ile iliyotokea kwenye kombe la FA inaamia mpaka huku kwenye ligi kuu ambapo ataukosa mchezo huu tu.

No comments:
Post a Comment