Chombo cha habari cha ESPN kimetoa utabiri kwa kocha Antonio Conte utakavyokuwa mwishoni mwa msimu ambapo ili kusoma nini wamekitabiri click hapo kwenye neno la utabiri wa Conte hapo chini.
Utabiri huo pia wamehoji uwezekano wa kocha Antonio Conte kusalia klabuni Chelsea na wakaona kikubwa kinachoitesa Chelsea kwa sasa ni kutokana na kocha Antonio Conte kutopewa fungu kubwa la kufanya usajili mwanzoni mwa msimu kama ilivyokuwa kwa kocha wa Mama site(Man city), Pep Guardiola ambao wao ndio wanaongoza katika msimamo wa ligi kuu Uingereza na kwa kuwa kocha Conte bado anapendwa na mashabiki klabuni Chelsea na pia wachezaji wanamfurahia hakuna nafasi ya kocha huyo kuondoka klabuni hapo. Akiwa ametoka kusaini mkataba mpya klabuni hapo, muda mfupi baada ya kuisaidia kutwaa ligi kuu Uingereza msimu uliopita.
Conte aliwai kukaririwa akiongelea usajili iliyofanya klabu hiyo ya Guardiola na huenda ikawa sababu ya kuifanya klabu imuongee fungu ili katika dirisha kubwa la usajili afanye usajili mkubwa.
#Utabiri wa Conte
#Utabiri wa Conte
No comments:
Post a Comment